Kingwendu akiwa na vijana katika kazi mpya ya Migowoods pamoja na Fish Group Filamu, kaeni tayari kwa ujio wa katiba mpya mazee....
Mwalimu wa Fish Group (Mwenye Shati la Draft) akiwa pamoja na baadhi ya uongozi wa Kikundi chake na wananchi wa Suna Magomeni waliokumbwa na Mafuriko wakitizama kazi ya Katiba mpya inavyoandaliwa....
Sasa Sadique na wewe Cameraman? Muongozaji Sadique Bwanga wa Migowoods akiwa anakagua kama kuna weza kupatikana picha ya ubora unaotakiwa, pia ni edotor wa Migowoods
Marafiki zetu hao, watoto hawa jiandaeni kuwaona wanavyokamua katika katiba mpya...
Juma Chabest Kazini, aliyeshika boom mic...... Katika maandalizi ya KATIBA MPYA
No comments:
Post a Comment