Total Pageviews

Monday, September 2, 2013

Hapa ndio katika viwanja vya Tamal Hotel Mwenge kabla maharusi hawajaingia

Bwana na Bibi Eliphace Mwambata katika pozi.
Mkurugenzi mtendaji wa Migowoods Entertainments akitoa mkono wa pongezi kwa Mr and Mrs Eliphace Mwambata tar 31/8/2013 katika viwanja vya Tamal Hotel Mwenge

Hii ndio kamati iliyofanikisha shughuli ya Bw na Bi. Eliphace Mwambata, Shukrani kwao kwa kutupatia kazi ya kutunza kumbukumbu za tukio hili.

Fully Raha, Mkurugenzi mtendaji pamoja na Afisa Masoko wa Migowoods Entertainments wakibadilishana mawazo na Maharusi, Mr and Mrs Eliphace Mwambata tar 31/8/2013 katika viwanja vya Tamal Hotel Mwenge


Mkurugenzi mtendaji wa Migowoods Entertainments akibadilishana mawazo na Maharusi, Mr and Mrs Eliphace Mwambata tar 31/8/2013 katika viwanja vya Tamal Hotel Mwenge

Sunday, August 25, 2013

KADI HII INAPATIKANA KWA GHARAMA YA SHILINGI ZA KITANZANIA 2500/=

Monday, August 19, 2013

Kadi hii inagharimu shilingi 1000/= tu, karibuni sana





Ndoa ilifungwa msikiti wa kichangani-Magomeni, na Baadae sherehe ilifanyikia Lamada-Ilala
Tukio zima lilikuwa chini ya uangalizi wetu... Barnaba nae alitumbuiza Lamada pale.